Jumamosi , 18th Jun , 2022

Brotherman wa Bongoflava Dully Sykes amejibu kuhusishwa na imani za kishirikina baada ya kusema analala chini kwa kusema hizo ni imani za kimaskini kwa wanaofikiria ni uchawi.

Picha ya msanii Dully Sykes

Dully amesema alikuwa analala chini kuanzia mwaka 2008 mpaka mwaka huu 2022 ndio ameamua kununua kitanda kulalia.

Zaidi mtazame hapa kwenye video akizungumzia hilo.