Jumatatu , 20th Jun , 2022

Msanii wa filamu Dokii amesema Lulu Diva ndio alikuwa amechanganyikiwa na penzi la Rich Mavoko na sio Lulu kuchanganya penzi kwa Mavoko na boss wake.

Picha ya Lulu Diva na Rich Mavoko kulia, kushoto ni Dokii

Zaidi mtazame hapa chini akizungumzia hilo.