Jumatano , 22nd Feb , 2023

Staa wa muziki Tanzania na Africa Diamond Platnumz amemnunulia cheni mpya mpenzi wake Zuchu huko jijini London nchini Uingereza.

Picha ya Zuchu na Diamond

Kupitia ukurasa rasmi wa lebo ya WCB imeandika kuwa "Simba amemnunulia Zuchu cheni mpya London".

Hii huenda imewaziba baadhi ya mashabiki midomo ambao walidai penzi hilo limevunjika. Zaidi tazama tukio zima hapa