
Msanii wa HipHop Chemical
Post hiyo aliyoweka Chemical mwenyewe inaeleza kuwa "Wana wa Insta, Nipo hapa mbele yenu kuomba ushauri serious, nikisema nitajioa sio kwamba napenda, ila mwenzenu sina bahati jamani, nishatongoza sana ila wanaume msivyo na huruma hamuogopi kunikataa, najua sivutii kihivyoo ila mgenihurumiapo basi, hata wa kuja na kupita tu au kunichezea nitaridhika"
"Sasa sijui, niendelee kutongoza labda siku moja nitabahatika, ama nisubiri upepo wa kisulisuli au niachane na mapenzi nijioe na nizeeke na kibikra changu msaada wenu tafadhali" ameongeza