Jumatano , 29th Sep , 2021

Best vocalist, Cheed kutoka Konde Music Worldwide ameajiachia wimbo wake wa kwanza ‘’Wandia’’ baada ya siku zaidi ya 350 kupita tangu atambulishwe kwenye lebo hiyo.

Picha ya Msanii Cheed

Kwenye wimbo huo mpya Cheed ameimbia namna msichana wa Kibantu ambaye aliamua kumpenda kijana mwenye maisha duni na bila kujali wanapitia changamoto gani maishani lakini alikua akimpenda na kumjali.