
Picha ya mchekeshaji Mkojani na Marehemu Erick IvyoIvyo
Mchekeshaji Mkojani Bin Daruweshi amethibitisha taarifa hiyo kwa kusema sasa hivi wasanii wanaelekea Kibaha kujua taratibu za kifamilia kuhusu mazishi.
Pia amesema wiki tatu zilizopita mchekeshaji huyo alilazwa katika Hospitali ya Amana, Ilala Dar es Salaam.
Zaidi msikilize hapa Mkojani akizungumzia kifo cha Mchekeshaji Erick.