Jumapili , 11th Dec , 2022

Aliyekuwa mke wa mpiga picha maarufu Bongo Lukamba, Ceccy amesema hajawahi kuona faida ya Lukamba tangu alivyokuwa staa.

Picha ya Ceccy na Lukamba

Wawili hao wamepigana chini kwa sasa na kupitia show ya Friday Night Live Lukamba aliweka wazi kutoa talaka 3 kwa aliyekuwa mke wake huyo.

Zaidi tazama hapa Ceccy akizungumzia chanzo cha kuvunjika kwa ndoa yao.