Jumatatu , 15th Sep , 2014

Msanii mkali kabisa wa R&B Bongo, Ben Pol ameweka wazi mipango ya chini ya Carpet kufanya kazi na wasanii ambao wanafanya vizuri Afrika Mashariki, akiwepo Sage, Rabbit, Anto Neosoul na Wengine ambao tayari amekwishatengeneza nao 'networking' nzuri.

Ben Pol

Ben Pol amesema kuwa, kipindi ambacho michongo anayotengeneza na wasanii hawa itakapokamilika atawajulisha mashabiki wake, akiamini kuwa kitakachotengenezwa katika muunganiko huu kitaleta ladha nyingine kabisa katika tasnia ya Burudani.

Rabbit (Kaka Sungura)
Sage
Anto Neosoul