Ijumaa , 27th Nov , 2015

Nyota wa muziki Belle 9 mbali na shughuli zake za muziki, ameamua kujikita katika huhamasisha vijana kuzifuata ndoto zao kwa kufanya kazi, jukumu analolifanya chini ya shavu jipya la ubalozi alilolipata hivi karibuni.

Belle 9

Belle 9 amesema kuwa akiwa kama msanii mkuba mwenye ushawishi na anayejitambua, hii inakuwa ni moja ya majukumu yake pembeni ya kuburudisha jamii, kuongeza uelewa wa namna vijana wanavyoweza kutumia mtandao kukutanishwa na kazi za ndoto zao.

Tags: