Jumatatu , 11th Oct , 2021

Mkali wa muziki Bongo Barnaba Classic amesema anaona amefanya kitu sawa kwenye maisha yake baada ya kuonekana akitrend mitandaoni kwa kuvaa sketi ya kike.

Picha ya Barnaba Classic akiwa amevaa sketi ya kike

Barnaba Classic anasema haitaji kuelezea sana suala hilo kwa kuwa haliwahusu watu pia kazi yake ya sanaa inaingiliana na mambo ya fashion, kupata comments nyingi na watu kumuongelea.

Zaidi mtazame hapa chini kwenye video akizungumzia hilo.