Jumatano , 18th Nov , 2015

Msanii wa muziki Azma Mponda ambaye yupo jijini Nairobi, amefanikisha kolabo kubwa kabisa nchini humo ya projekti inayokwenda kwa jina 'Coming', wakimshirikisha mfale wa rap Kenya, Khaligraph, Singa Babz na Cara Feral.

Msanii wa muziki nchini Azma Mponda

Azma ameeleza kuwa, huo ni mwanzo wa yeye kufanya kolabo nyingi na wasanii wakubwa wa Kenya katika ubora wa kimataifa zaidi kama anavyoeleza mwenyewe hapa.