Amini
Amini ameeleza kuwa, hivi karibuni atavunja ukimya wake, kazi nyingine ambayo anafanya kwa sasa ikiwa ni biashara ya kuandikia nyimbo wasanii wengine, binafsi akiwa pia anajiamini kuwa anaweza kukaa kimya na kutokupotea kwa muda anaotaka kutokana na kuamini kile anachokifanya.