Jumatatu , 9th Nov , 2015

Baada ya kuanza kazi kwa namna ya aina yake kwa Rais wa awamu ya 5 Tanzania, Mhe. John Pombe Magufuli, star wa muziki Amini amesema kuwa anamtakia Rais huyo afya, maisha marefu na pia mafanikio katika maamuzi yenye lengo jema ya kuiendeleza Tanzania.

Rais John Pombe Magufuli

Amini ameeleza kuwa, licha ya kuwa si mtaalam sana wa masuala ya siasa, baada ya kiongozi huyo kuingia madarakani, haya ndio mambo muhimu ambayo yanaweza kulipeleka mbele taifa kama anavyoeleza hapa.