
Akothee
kuhamasisha vijana kushiriki katika masuala ya siasa, ambapo amewataka kufahamu umuhimu wake katika kila nchi, ambapo maendeleo yake uhitaji kuwa na uongozin ama viongozi.
Akothee amewataka vijana wa kitanzania kufuata utaratibu uliowekwa na siku ikifika kutumia haki yao vizuri kushiriki katika uchaguzi na kuachana na masuala ya fujo, maandamano na lugha chafu ambazo mwisho wa siku haziwaletei, faida yoyote, na hapa anaanza kwa kueleza umuhimu wa siasa.
Staa huyo amewataka vijana kutumia nguvu zao katika kujitafutia chakula na si migogoro ya kisiasa ambayo haina mantiki, na vilevile kuhakikisha kuwa wanapiga kura kwa amani.