Baadhi ya Wananchi na Wachimbaji Wadogo Wakiwa Eneo la Tukio
Viongozi mbalimbali wakiongozwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko kwenye picha ya pamoja.
Maafisa wa Ulinzi, Shakahola
Naibu Waziri wa Madini, Dk. Steven Kiruswa (katikati) alipotembelea banda la maonyesho la GGML katika Kongamano la tatu la uzingatiaji wa ushiriki wa wazawa katika sekta ya madini lililofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Arusha (AICC) Mei 2024. Kutoka kushoto kwenda kulia ni Dominic Marandu, Meneja wa Mafunzo na Maendeleo wa GGML, Rhoda Lugazia, Ofisa Mwandamizi wa Mawasiliano wa GGML, David Nzaligo, Mwanasheria mwandamizi wa GGML na Gilbert Mworia, Meneja Mwandamizi wa GGML anayeshughulia mahusiano endelevu.
Makamu wa Rais Dk Philip Mpango (wa pili kulia) akikabidhi tuzo maalum kwa Meneja Mkuu wa Kampuni ya kuzalisha na kusambaza nishati ya gesi ya nyumbani ya Taifa Gas Limited, Devis Deogratius (kushoto).
Watuhumiwa wa Genge la Uhalifu Sumbawanga
Mwenyekiti wa Chama cha Watu Wenye Ualbino Tanzania TAS, Godson Molle
Baadhi ya Askari wakiwa eneo la Ajali kwaajili ya Uokoaji