Kushoto ni msanii 20 Percent, kulia ni Harmonize picha ndogo ni Alikiba
Akifunguka hilo kupitia EATV & EA Radio Digital msanii 20 Percent amesema kuwa
"Nakasirishwa kuongeleshwa mambo mengi yasiyonihusu hata kama nikija na kazi zangu mkononi nitaulizwa kuhusu fulani na fulani, kwa mfano unaulizwa kuhusu Alikiba au Harmonize kitu ambacho pengine sio muhimu kwa mashabiki zangu ambao wanataka kujua kwa wakati huo, ni watu ambao wamekaa kwenye mazingira ya kiki na mashindano ya mitandaoni"
Zaidi bonyeza hapa chini kumtazama