Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mwinyi abaini madudu kwenye hospitali,atoa miezi 3

Jumatano , 18th Nov , 2020

Rais wa Zanzibar Dkt.Hussein Ali Mwinyi, amefanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya Mnazi Mmoja na kuutaka  uongozi wa hospitali hiyo  kuhakikisha watendaji wake wote wanatambulika kwa majina mara moja  ili wanaokwamisha huduma wajulikane.

Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi

Akizungumza mara baada ya ziara, Dkt.Mwinyi, ameweka wazi kuwa ujio wake katika hospitali hiyo umetokana na  taarifa kutoka kwa baadhi ya wagonjwa wanaofika kwenye hospitali  hiyo ambao wanalalamika juu ya kutokuridhishwa na huduma zinazotolewa hospitalini hapo.

“Nimeangalia wauguzi, nimeangalia madaktari hakuna aliyevaa jina ili atambulike hiyo ni kasoro kubwa katika utoaji wa huduma ya afya, kwanza lazima mtu atambulike kama anatoa huduma ili kama mtu ana tatizo aseme hakufanyiwa huduma nzuri na nani kwa hili nitawataka uongozi warekibishe mara moja” amesema Dkt.Mwinyi

“Nimeona kuna baadhi ya huduma hazifanyika si kwa sababu hatuna fedha ni tatizo la kiutendaji na kuna matatizo madogomadogo ambayo kama yangeshughulikiwa huduma zote zingekuwa bora, kuna uhaba wa dawa, mashuka na vifaa kuna uhaba kila sehemu na hakuna sababu za kifedha” ameongeza Dkt.Mwinyi

Aidha Dkt.Mwinyi ametoa muda wa miezi mitatu kwa hospitali hiyo kuhakikisha inaboresha huduma zake ili kuondoa kero wanazokumbana nazo wagonjwa wanaofika kwa ajili ya matibabu.

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali