Jumapili , 3rd Mei , 2020

Wizara ya Afya imesema hakuna haja ya maiti iliyofariki kwa Ugonjwa wowote ule kuzikwa gizani, na kuwaagiza Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuzishirikisha familia na kufuata taratiobu zote za utu.

Usiku

Aidha Wizara hiyo imesema kuwa wizara ya Afya imesema mpaka sasa hakuna dawa yeyote iliyopo nchini inayotibu au kukinga Maambukizi ya Virusi vya Corona na kuwataka wananchi kutotumia dawa kiholela.

Kupitia taarifa yake iliyotolewa kwenye Vyombo vya habari imesema kuwa "hadi sasa hakuna dawa inayoweza kutibu, kukinga ugonjwa huu, ila zipo zinaweza kusaidia kutibu Mgonjwa akiwa kwenye hatua fulani kwa ushauri wa Daktari"

Soma taarifa kamili hapo chini