
Aidha kuhusu kuwapo kwa ugonjwa huo Mkoani Mtwara Nyembea anasema, mpaka sasa hakuna taarifa ya uwapo wa ugonjwa huo Mkoani humo,
Nyembea ametoa wito kwa wakazi wa Mkoa wa Mtwara, kufika haraka katika kituo cha afya pindi watakapoona dalili yoyote ya kutokwa na damu puani