Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli
Katika taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais iIkulu imeseme kuwa viongozi hao wapya wanategemea kuapishwa Agosti 1.
Viongozi wanaotarajiwa kuapishwa siku ya Jumatano, Agosti 1 ni wale walioteuliwa siku ya Jumamosi Agosti 28 na Rais John Magufuli katika mabadiliko madogo ya uongozi aliyoyafanya.
Taarifa iliyotolewa na Ikulu leo.