Jumamosi , 12th Aug , 2023

 Jeshi la Polisi Tanzania limethibitisha kuwakamata Wakili Boniface Mwabukusi na Mpaluka Said Nayagali maarufu kama Mdude kwa ajili ya mahojiano

Polisi wamesema kukamatwa kwao ni mwendelezo wa kuwafuatilia watu walioandaa na kutoa maneno ya uchochezi

 
Watu hao wawili wamekamatwa maeneo ya Mikumi Mkoani Morogoro majira ya saa nane na nusu usiku wa Agosti 12/2023