Mkuregenzi wa Apec, Recpious Timanywa taasisi ambayo inaendesha mafunzo kwa waendesha bodaboda nchini.
Hayo yamesemwa na kiongozi wa dini Ernest Lazaro wakati wa kufunga mafunzo kwa waendesha pikipiki katika kata ya sakila ambapo pamoja na mambo mengine amewataka washiriki kuyazingatia mafunzo hayo hasa katika kuzingatia sheria za usalama barabarani.
Naye mkuregenzi wa Apec Recpious Timanywa ambao ndiyo watoaji wa mafunzo hayo, ameiomba serikali kuunga mkono jitihada zinazofanywa kwa kutoa gari litakalo wawezesha kuzunguka katika maeneo yote ya nchi hii.
Akisoma risala katika mafunzo hayo Ndeoya Kitomari amesema kwa kipindi kirefu wamekuwa wakiporwa pikipiki huku baadhi yao wakipoteza maisha wameomba serikali kuwasaidia pindi wanapokubwa ba majanga kama hayo hasa pale wanapo watilia shaka wahalifu.
Mpaka sasa wilaya zote za mkoa wa Arusha zimefikiwa huku bado mwitikio wa waendesha bodaboda ukiwa mdogo.