Jumapili , 30th Mei , 2021

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala, amesema Idara ya Uhamiaji Tanzania, imewasimamisha kazi askari wake watatu kwa kukiuka maadili ya kazi zao.

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala

Makalala ameeleza kuwa askari hao walioonekana kwenye video fupi wakitumia nguvu dhidi ya mtuhumiwa wa utapeli Alex Raphael Kyai kitendo ambacho ni kinyume cha sheria na maadili ya kazi yao.

Soma taarifa kamili hapo chini