Jumapili , 21st Nov , 2021

Jeshi la Polisi Tanzania limeeleza kuwa mwezi Disemba 2021, litafanyika zoezi kubwa la mafunzo ya kujengeana uwezo, kubadilishana taarifa na uzoefu litakaloshirikisha askari wa vyeo mbalimbali kutoka mataifa 14.

IGP Simon Sirro

Mataifa hayo 14 ni yale yanayounda umoja wa Kipolisi wa nchini za Ukanda wa Afrika Mashariki unaofahamika kama Shirikisho la Wakuu wa Polisi Ukanda wa Afrika Mashariki  (EAPCCO).

Zaidi tazama Video hapo chini