
Mkuu wa wiyala ya Butiama Moses Kaegele
Hayo ameyasema kwenye programu ya wanafunzi iliyoandaliwa na Makumbusho ya Taifa nchini kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 100 tangu kuzaliwa kwa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, yanayoendelea Butiama mkoani Mara.
DC Kaegele amesisistiza kwamba jamii ikipambana na maadui hao watatu itasaidia kudumisha zaidi umoja, amani, uhuru na kazi kama kaulimbiu ya maadhimisho hayo ilivyo.