Mkurugenzi Mkuu wa TPSF, Godfrey Sembeye
Mkurugenzi Mkuu wa TPSF, Godfrey Sembeye amesema hayo jijini Dar es Salaam, na kueleza kuwa taasisi hiyo imeanzisha vipindi vya redio katika vituo mbalimbali nchini ikiwemo mikoa ya Dodoma, Geita, Kigoma pamoja na Mbeya.
Simbeye amesema vipindi hivyo vitaenda sambamba na warsha za mafunzo zitakazowahusisha wajasiriamali na wadau mbalimbali katika mikoa hiyo.
Ameongeza kuwa tovuti hiyo imelenga kuongeza uelewa wajasiriamali juu ya kukuza biashara, Upatikanaji wa mitaji, mbinu sahihi za kuendesha biashara pamoja namna ya kukuza bidhaa katika masoko.






