Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini
Agnes Kijazi.
Mkurugenzi mkuu wa TMA Dkt Agnes Kijazi amesema hayo leo jijini Dar es salaam na kuwashauri wakulima kupanda mbegu za mazao ambazo zinakua hazihitaji maji mengi.
Dkt Kijazi pia ameeleza kuwa athari hizo zitajitokeza si kwa Tanzania pekee bali pia ni kwa nchi zote za Afrika Mashariki huku akieleza athari hizo kwa sekta mbali mbali hapa nchini ikiwemo wafugaji na wakulima..