
Waziri wa afya na ustawi wa jamii nchini Tanzania, Dkt Seif Rashid
Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es salaam na mkuu wa mradi wa kuzuia vifo vya akina mama wajawazito na watoto wachanga ujulikanao kama MAISHA Dakta Dunstan Bishanga.
Akizungumzia tatizo hilo makamu wa rais wa Tanzania Dakta Mohamed
Gharib Bilal amesema Serikali imejizatiti kupunguza vifo hivyo kama
iliyofanya kwa watoto wachanga.