Jumanne , 3rd Aug , 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu ametuma salamu za pole kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini Jenerali Venance Mabeyo, kufuatia kifo cha Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandikwa kilichotokea jana usiku katika hospitali ya Taifa Muhimbili.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu

Aidha, Rais Samia ametoa pole kwa familia ya Elias Kwandikwa na kueleza jinsi atakavyomkumbuka kwa utendaji kazi wake enzi za uhai wake.

Soma taarifa kamili hapo chini.