Jumapili , 30th Mei , 2021

Hawa ndio viongozi mbalimbali wakiwemo Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Taasisi, ambao wameteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan

Miongoni mwa walioteuliwa ni aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Mapinduzi Rodrick Mpogolo ambaye anakuwa Katibu Tawala Mkoa wa Katavi.

Uteuzi wao umeanza Mei 29, 2021.

Soma taarifa kamili hapo chini