Rais Samia aanza ziara Kenya leo Mei 4

Jumanne , 4th Mei , 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi, leo Mei 4, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan alipowasili Kenya.

Rais Samia ameanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Kenya, ambayo ni mwaliko wa Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta.

Tazama Video hapo chini