Jumapili , 1st Aug , 2021

Rais Samia Suluhu Hassan kesho Agosti 2, 2021 anatarajia kuanza ziara rasmi ya kiserikali ya siku 2 nchini Rwanda.

Rais Samia katika moja ya ziara zake

 Taarifa ya Ikulu imeelza kuwa ziara hiyo ni mwaliko wa Mwenyeji wake Rais Paul Kagame.

Soma taarifa kamili hapo chini