Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Rais Magufuli atoa tahadhari ya Corona

Jumatano , 27th Jan , 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, amewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari za kiafya kadri zitakavyotolewa na wataalam, huku akieleza kushangazwa na Watanzania walioenda nje kupata chanjo ya Corona hali iliyopelekea wao kurudi na Corona ya ajabu ajabu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli

Kauli hiyo ameitoa hii leo Januari 27, 2021, wakati wa uzinduzi wa shamba la miti lililopo eneo la Butengo, Chato Geita, ambalo amelipa jina la shamba la miti la Silayo, ikiwa kama sehemu ya kutambua mchango uliofanywa na Kamishna wa Mhifadhi wa Misitu nchini, Profesa Dos Santos Silayo.

"Ninajua wapo baadhi ya Watanzania wameondoka ndani ya nchi na kukimbilia maeneo mengine kwenda kuchanjwa na waliporudi wametuletea Corona ya ajabu, chanjo hazifai, wazungu wangekuwa na uwezo wa kuleta chanjo, chanjo ya UKIMWI, Malaria, Kansa na Kifua Kikuu ingekuwa imeshapatikana na kuletwa", amesema Rais Dkt. Magufuli

Aidha Rais Magufuli ameongeza kuwa, "Lazima tuwe waangalifu kwa mambo ya kuletewa letewa msije mkafikiria mnapendwa sana, Taifa hili ni tajiri, Afrika ni tajiri kila mmoja anaitamani, niiombe Wizara ya Afya, isiwe inakimbilia mambo ya chanjo bila kujiridhisha".

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi