Jumatatu , 24th Mei , 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Mei 24, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na mfanyabiashara ambaye pia ni mmiliki wa kiwanda cha Saruji cha Dangote, Alhaji Aliko Dangote.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Alhaji Aliko Dangote

Soma taarifa kamili hapo chini