Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Raia wa kigeni 52 wakamatwa

Jumapili , 7th Feb , 2021

Idara ya uhamiaji mkoa wa Kigoma imewakamata raia wa kigeni 52 kutoka nchi ya Burundi na jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo walioingia nchini kwa kutumia njia za panya wakiwemo wakimbizi 12 waliotoroka katika kambi ya Nyarugusu iliyoko wilaya ya Kasulu.

Pichani raia wa kigeni waliokamatwa

Akielezea kukamatwa kwa raia hao wa kigeni jana kaimu afisa uhamiaji mkoa wa Kigoma Kamishna msaidizi wa uhamiaji Augustino Matheo amesema raia hao wamekamatwa baada ya msako uliofanyika February 05 na 06  katika maeneo mbalimbali mkoani Kigoma uliofanikisha kukamata raia 43 kutoka nchi ya Burundi kati ya wakiwemo wakimbizi 3 na raia 9 kutoka nchi ya kidemokrasia ya Kongo ambao ni wakimbizi kutoka kambi ya Nyarugusu.

Pia Matheo ameeleza kuna watanzania watatu waliokuwa wakiwatumikisha raia hao nao wamekamatwa na baadae watafikisha mahakamani pamoja na wahamiaji hao .

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali