
Dkt. Adolf Rutayuga(katikati) akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)
Kaimu Katibu Mtendaji wa NACTE Bw. Adolf Rutayunga amewaambia waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam kuwa hatua hizo zimefuatia mapungufu yaliyobainika katika ukaguzi wa mara kwa mara unaofanywa na baraza hilo.
Bw. Rutayuga amesema ukiukwaji huo wa sheria na taratibu umesababisha elimu iliyokuwa inatolewa na vyuo hivyo kutokidhi matakwa ya kisheria na kitaaluma na hivyo kuleta usumbufu na hasara isiyo ya lazima kwa wanafuzni na wazazi wa wanafunzi wa vyuo husika.
Msikilize hapa Rutayuga akieleza zaidi pamoja na kuvitaja vyuo vyote vilivyochukuliwa hatua.