
Rais Mstaafu wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi
Rais Mstaafu alitoa kauli hiyo jana alipotembelea mabanda nane ya sekta mbali mbali zinazohusika na masuala ya Muungano na kuoneshwa mafanikio na changamoto za shughulii hizo tangu kuanzishwa kwa Muungano.
Mzee Mwinyi alisema kuna baadhi ya Ofisi na Tume ambazo alikuwa hajui zinafanya kazi gani tangu kuanzishwa kwa Muungano, na kuwa fursa kwake kuona mafanikio ya Muungano kupitia sekta alizozitembelea