
Askari wa Zimamoto pamoja na raia wakiwa wamebeba mwili
Zaidi tazama video hapo chini
Mwili wa mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 50, umekutwa umenasa kwenye mawe ndani ya maji ya mto Ruhuji Njia Panda ya kutoka Njombe kwenda wilayani Makete. Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Njombe limesema mtu huyo bado hajafahamika ni mkazi wa eneo gani.
Askari wa Zimamoto pamoja na raia wakiwa wamebeba mwili
Zaidi tazama video hapo chini