Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Makampuni ya ASAS, Alhaj Faraj Ahmed Abri
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya familia ya ASAS imeleza kwamba, njia ya teknolojia za habari itumike katika kutoa pole na shughuli zingine za msiba na si kukusanyika nyumbani.







