Tukio hili limetokea katika Kijiji cha Mwailanje Kata ya Kimaha Wilayani Chemba Mkoani Dodoma kisha kusababisha taharuki kwa wananchi wa kijiji hicho
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hili wameeleza kuwa hayo ni matendo ya kishirikina yanayoendelea kukithiri kijijini hapo na kuleta taharuki kwa wananchi
Mwenyekiti wa Kijiji cha Mwailanje Bakari Mkamba amethibitisha tukio hilo na amewataka wananchi wenye tabia hizo kuacha mara moja kwani linaleta taharuki kwa wananchi #EastAfricaTV