Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mabehewa 50 ya Treni ya Mizigo yawasili

Jumatano , 19th Nov , 2014

Mabehewa 50 kati ya 274 ya kusafirishia mizigo katika Reli ya Kati yamewasili nchini kutoka India na mabehewa 22 ya abiria yana tarajiwa kuwasili Desemba mwaka huu.

Mabehewa 50 kati ya 274 ya kusafirishia mizigo katika Reli ya Kati yamewasili nchini kutoka India na mabehewa 22 ya abiria yana tarajiwa kuwasili Desemba mwaka huu.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dakta SHABANI MWINJAKA amesema kuwasili kwa mabehewa hayo kutaokoa kwa kiasi kikubwa miundombinu ya barabara ambayo huharibika muda mfupi baada ya kutengenezwa kutokana na malori ya mizigo kwani kwa sasa mizigo yote itasafirishwa kwa njia ya reli .

Amesema Kampuni ya Reli Tanzania imetengewa zaidi ya shilingi bilioni 45 kwa ajili ya kuboresha huduma zake ikiwa ni pamoja na kununua vichwa na mabehewa mapya.

Amesema hadi mwaka 2015 injini 45 zitakuwa zimekamilika ambazo zitawezesha kusafirisha tani milioni 1.5 na kuongeza kuwa ujenzi wa reli ya kisasa kutoka Dar es salaam kwenda Kigoma, Tabora hadi Mwanza na Uvinza Msongati hadi Burundi utafanyika.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Reli Tanzania Mhandisi KIPALLO KISAMFU amesema injini Nne zilizokuwa zikitengenezwa mkoani Morogoro zimekamilika na nyingine 15 zinatengenezwa Afrika ya Kusini ambazo zitagharimu shilingi bilioni 70 .

HABARI ZAIDI

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa

Aonya wanaochangia watumishi kutopanda madaraja

Edgar Lungu, Rais wa Zamani Nchini Zambia Akitembea Kuzunguka Mji Mkuu wa Lusaka

Rais wa zamani Zambia Bw. Lungu hatarini kukamatwa

Mkuu wa Ulinzi Ukraine (Picha ya Website)

Zelensky amfukuza kazi mkuu wake wa ulinzi

Baadhi ya Wananchi wa Chindi na Ntinga wakiwa katika Harakati za Kuvuka Mto

Walazimika kulipa hadi 8000 kuvuka mto kwa mtumbwi

Mohamedi Mchengerwa, Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

Wanaozuia watumishi kupanda vyeo wakaliwa kooni

Bujukano Mahungu John, Mwenyekiti wa Umoja wa Waganga na Wakunga wa Tiba Asili Tanzania

Waganga wa jadi waungana kukemea ukatili, Geita

Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Mvua zilizoambatana na upepo zimeua watu watano TZ

Muonekano wa Eneo la Somanga baada ya Mawasiliano kati ya Lindi na Dar es Salaam kurejeshwa.

Mawasiliano yarejeshwa barabara ya Dar - Lindi

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga

Kituo cha kupoza umeme kujengwa Tunduma