Jumamosi , 4th Jan , 2020

Mkuu wa Majeshi Mstaafu, David Msuguli, amefanya Ibada maalum ya kumshukuru Mungu kwa kufikisha miaka 100, tangu kuzaliwa kwake mnamo Januari 4, 1920.

Mkuu wa Majeshi Mstaafu, David Msuguli.

Ibada hiyo maalum imefanyika nyumbani kwake wilayani Butiama mkoani Mara ibada imeongozwa na Askofu wa Jimbo Katoliki la Musoma Michael Msonganzila, 

Mkuu wa Majeshi Mstaafu, David Msuguli amesema anamshukuru Mungu kwa kufikisha miaka 100, na kuongeza kuwa ni vyema kwa kila moja kujitunza vizuri ili kuishi miaka mingi zaidi.

Tazama video kamili hapo chini