Marehemu Benjamin Mkapa
Katika kipindi chote cha maombolezo bendera zote zitapepea nusu Mlingoti.
Zaidi taarifa ya Ikulu hapo chini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza siku 7 za maombolezo kuanzia leo Ijumaa Julai 24, 2020, kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Dkt. Benjamin William Mkapa.
Marehemu Benjamin Mkapa
Katika kipindi chote cha maombolezo bendera zote zitapepea nusu Mlingoti.
Zaidi taarifa ya Ikulu hapo chini