Katika mkutano mkuu wa Chama hicho uliofanyika Jijini Dodoma umetangaza maamuzi hayo kwa kile wanachodai ni ubadhilifu wa mali za chama hicho
Aidha wajumbe wamemvua uongozi Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Angelina Rutairwa.
Aidha, mkutano huo ulitaka viongozi wote waliohusika na ubadhilifu wa mali akiwemo Mbatia kuchukuliwa hatua za kisheria.
Miongoni mwa tuhuma zilizotajwa kumhusisha Mbatia ni kuuza mali za chama, ikiwemo mashamba na nyumba katika maeneo mbalimbali.