Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Haitasaidia upelelezi- Kikwete

Jumatatu , 11th Sep , 2017

Mbunge wa Jimbo la Chalinze (CCM) Mhe. Ridhiwani Kikwete amefunguka na kuwataka wananchi na baadhi ya viongozi wakae kimya kama jambo hawalifahamu undani wake kwani kufanya hivyo hakutaweza kusaidia upelelezi.

Mbunge wa Jimbo la Chalinze (CCM) Mhe. Ridhiwani Kikwete.

Ridhiwani Kikwete amebainisha hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya baadhi ya viongozi kujaribu kutumia tukio lililompata Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu kupigwa risasi na watu wasiofahamika kama jukwaa la kisiasa kwa kutaja wahusika wa jambo hilo bila ya kuwa na ushahidi wa aina yeyote ile mbapo ni hatari kwa usalama wa nchi.

"Kama jambo haulijui, haujalishiriki bora unyamaze. Kutunga uongo au kuandika sana ili uonekane unajua kufikiri dhidi ya uhalisia hakutasaidia upelelezi wala haki kuonekana ikitokea. Tuwe watulivu katika kipindi hiki ili haki itendeke", amesema Ridhiwani Kikwete.

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali