Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

CUF yaomba suluhu kwa Rais Magufuli

Alhamisi , 24th Mei , 2018

Chama cha Wananchi (CUF), kimesema kimeandika barua rasmi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli ili kusaka muafaka wa kisiasa Visiwani Zanzibar.

Kauli hiyo ya CUF imetolewa leo Jijini Mwanza na Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharrif Hamad katika mahojiano maalum yaliyoratibiwa na Umoja wa Vilabu Vya Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) na kurushwa na vituo mbalimbali vya redio na mitandao ya kijamii.

"Mpaka sasa Ikulu bado haijajibu barua hiyo. Licha ya kuwepo kwa miafaka zaidi ya minne kati ya CUF na Chama cha Mapinduzi (CCM), lakini kumekuwa hakuna utashi wa kisiasa katika kusaka muafaka wa moja kwa moja kuhusu tofauti za kisiasa huko Zanzibar", amesema Maalim Seif.

Maalim Seif amewahi kuhudumu katika nyadhifa mbalimbali Visiwani Zanzibar, ikiwemo ya Waziri wa Elimu kwenye serikali ya Hayati Mzee Aboud Jumbe, Waziri Kiiongozi kwenye serikali ya Mzee Ali Hassan Mwinyi na Makamu wa Kwanza wa Rais kwenye serikali ya Dkt. Ali Mohamed Shein awamu ya kwanza baada ya kufikiwa kwa makubaliano ya kuundwa serikali ya Umoja wa Kitaifa mnamo mwaka 2010.

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali