Rais Samia akiwasili uwanja wa Ndege wa Dodoma
Jana Julai 3, 2021 akiwa Dar es salaam, Rais alishuhudia mchezo wa Simba Vs Yanga ambao uliisha kwa Yanga kushinda 1-0.
Tazama Video hapo chini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Julai, 4, 2021, amewasili jijini Dodoma akitokea Jijini Dar es salaam.