Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Wawekezaji kuhudumiwa kwenye dirisha moja

Jumatano , 8th Jun , 2022

Wawekezaji kutoka nje ya nchi na ndani ya nchi ambao watahitaji kuwekeza hapa nchini, kwa sasa watatumia mfumo mmoja wa kupata vibali vya uwekezaji bila ya changamoto yoyote.

Meneja mradi wa utengenezaji wa mfumo wa single window  Robert Mtendamema,

Hayo yamebainishwa mara baada ya majadiliano ya wakuu wa taasisi 12 ambazo zinahusika katika utoaji wa vibali vya uwekezaji hapa nchini kuangalia namna ya kutengeneza mfumo mzuri ili kuwawezesha wawekezaji kupata vibali kwa urahisi zaidi ambapo Meneja mradi wa utengenezaji wa mfumo wa single window  Robert Mtendamema, amesema kuanzia Juni 15 mwaka huu mfumo huu utaanza kutumika.

"Tumechelewa kuanza ila sasa mfumo huu wa pamoja unakwenda kuwa kivutio kikubwa kwa wewekezaji kutoka nje na ndani," amesema Mtendamema.

Kutokana na hali hiyo Mkurugenzi wa Utafiti, Mipango na Mifumo ya Taarifa katika Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Mafutah Buniri, amesema mfumo huo utasaidia kurahisisha katika utoaji wa huduma.

"Kituo tayari kimetoa eneo la uwepo wa wataalamu kutoka taasisi hizi 12 ili ziweze kutoa huduma ya pamoja,"amesema Mafutah

Kwa upande wake Kamishna Jenerali wa Uhamiaji nchini Dkt. Anna Makakala na Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania TBS Dkt. Yusuph Ngenya wameeleza namna mfumo huu utakavyoondoa usumbufu kwa wawekezaji kupata vibali.

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali