
Kamishna Mkuu wa TRA Dr. Edwin Mhede
Katika mwendelezo wa ziara zake, Februari 3, 2020 Kamishna Mhede, alikutana na kuzungumza na wafanyabiashara wa mkoa wa Mbeya.
Taarifa ya Mamlaka hiyo ya mapato imeeleza kuwa katika mazungumzo hayo, Kamishna Mkuu wa TRA na Wafanyabiashara walijadili kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu kodi.
#MBEYA Leo 3/02/2020 Kamishna Mkuu wa TRA amezungumza na Wafanyabiashara kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu kodi. pic.twitter.com/BXPQqYfNey
— TRA Tanzania (@TRATanzania) February 3, 2020
Wakati huo huo TRA inaendelea na Kampeni yake maalum ya kuelimisha wananchi juu ya athari za magendo, Ukanda wa bahari ya Hindi kwa mikoa ya Mtwara, Lindi, Pwani, Dar es salaam na Tanga.
Kampeni hiyo imeanza Februari 3 na itakwenda hadi Februari 11, 2020.
#KAMPENI pic.twitter.com/KUvLLDisQ3
— TRA Tanzania (@TRATanzania) February 2, 2020