Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Premier League Kuendelea Jumapili hii

Ijumaa , 30th Oct , 2020

Premier League Kuendelea Jumapili Hii – Red Devils kuwakaribisha Arsenal pale Old Trafford Manchester United vs Arsenal, moja ya mechi zinazovutia wiki hii!!

Jumapili ni siku nzuri ikipambwa na soka lenye viwango thabiti katika Ligi ya Uingereza – EPL! Kuna kitu kizuri zaidi ya soka la Uingereza?

Jumapili hii majira ya saa 1:30 usiku moja kati ya mchezo unaovutia kwenye wiki ya 7 ya EPL ni mchezo kati ya Manchester United vs Arsenal

Manchester United na Arsenal wameshakutana mara nyingi ndani ya miaka 10 iliyopita. Wanapimana nguvu katika viwanja vyote – Old Trafford na Emirates. 2019, matokeo ya timu zote ni kama yalikuwa yanafanana.

Tukiongelea mwenendo wa sasa, “Red Devils” hawajauanza vizuri msimu huu. Vipindi vigumu vya msimu uliopita vinaifanya timu mashuhuri kuwa nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi wakiwa wameshinda michezo miwili, wamepoteza miwili na kutoka sare mchezo mmoja.

Japokuwa, lazima tukumbuke  Man United  wanapungufu ya mchezo mmoja ikilinganishwa na timu nyingi za EPL.
Upande wa pili, “The Gunners” kwa kiasi fulani wanahali nzuri kulinganishwa na wapinzani wao. Wakiwa na ushindi wa michezo mitatu na kupoteza kadhaa, kwa sasa wapo nafasi ya 11 kwenye msimamo wa ligi.

Japokuwa, Arsenal hawawezi kuridhika na kiwango walichokionesha mpaka sasa, hasa kama wanamalengo makubwa ambayo kimsingi ndivyo hali ilivyo.

Kutokana na kuanza msimu vibaya na kawaida ya kuziona timu hizi kwenye nafasi za juu za msimamo wa ligi, itakuwa ni jambo la kuvutia kuangalia mechi ambayo wenyeji wamepatiwa faida kidogo (1X na GG) .

Kama ilivyokawaida, mashindano yakiwa yanaendelea kwenye Premier League, duka la Meridian bet ni sehemu utakayoweza kufuatilia kila kinachoendelea.

Pamoja na mchezo huu, kunamichezo mingine kibao inayochezwa katika wiki ya 7 ya Ligi ya Uingereza - EPL, unaweza kujionea odds za michezo hiyo kwa kubofya hapa 

Jisajili na Meridiabet hapa http://www.meridianbet.co.tz http://www.meridianbet.co.tz na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanze kubashiri kwa uhuru nyumbani kwako. Pia, unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay  M-PESA au Airtel Money Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, tuna Bonasi ya 100% inakusubiri.

Meridian - Nyumba yenye odds bora na bonasi kubwa!
 

HABARI ZAIDI

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali

Daktari wa GGML aliyebobea katika magonjwa yatokanayo na kazi, Cretus Karwan akimpatia vipimo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la GGML na kupatiwa huduma za awali za upimaji wa afya katika maonesho ya OSHA yanayoendelea jijini Arusha.

Wananchi 200 wapimwa afya maonesho ya OSHA

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhoka akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa masuala ya jamii na maendeleo ya kiuchumi kutoka GGML, Ruth Mharagi alipotembelea banda la GGML katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi jijini Arusha.

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu

Mwili wa Boaz Sanga, Mwanafunzi wa CHuo cha SAUTI Mwanza baada ya kupatikana Pembezoni wa Ziwa Viktoria

Mwanafunzi wa SAUTI afariki akijaribu kuogelea

Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri, CDF Mpya wa Kenya

Luteni Charles Muriu ateuliwa kuwa CDF mpya Kenya